Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA SUKA
#๐ฟ๐๐จ๐ฉ๐๐ฃ๐๐: Umbali wa Dakika 8 - 10 Kutembea kwa Mguu kutoka Main Road Barabara no Nzuri.
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa Sana
โข Vyumba Viwili vya Kulala vikubwa Sana
โข Jiko Kubwa lenye Makabati
โข Public Toilet nzuri ndani
Apartment zipo 4 tu ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU.
#Maji DAWASA NI #FREE na yanaflow ndani Muda wote.
#๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 400,000 Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp