Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610
Apartment ya vyumba viwilli (300,000) #KIMARA_MWISHO
KODI 300,000 × 5,6
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA STAND KILOMETA 1.5
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE
UWANJANI PAVING BLOCKS
UMEME LUKU YAKE
MAJI YANAFLOW NDANI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0679 997610