Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
KODI 270K APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 270,000/= X 7 ## ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 70 MALIPO YA MIEZI 7
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET NZURI SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 270,000/= X 7
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Contact 0712474756