Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW APARTMENT FOR RENT KODI 500,000X6
LOCTION KIMARA BARUTI DAKIKA 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BODABODA 1000
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
BEI NI 500,000/=X6
SIFA ZAKE
_____________
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
JIKO LINAFUNGWA MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
ZIPO MBILI COMPOUND MOJA
PARKING NI KUBWA KINYAMA
MAZINGIRA SAFI NA SALAMA
NB
ITAKUWA TAYARI TAR 15/10/24 KUONA KULIPIA RUKXA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347