Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
# JIKO KUBWA SANA
# PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MIVUMONI MWISHO NJIA YA MADALE AU UKITOKEA TEGETA UNAPITIA NJIA YA WAZO HILL HADI MIVUMONI MWISHO NA KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI YA MIVUMONI HADI KWENYE NYUMBA NI DK 2 TUU UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥NJI YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347