Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: MADALE MWISHO
Umbali Wa KM 1.5 Kutoka Main Road, Boda 1000
✅️Sebule Kubwa
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa
✅️Chumba KIMOJA Master
✅️Jiko Zuri Kubwa
✅️Public Toilet
✅️Heater Ya Maji Moto
✅️Good Environment 👍
✔️Parking Space Kubwa 🚘
✔️Inajitegemea LUKU Na Maji DAWASA
✔️Yanaflow Ndani 24HRS, Reserve TANKS
PRICE: 400,000 × 6
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp