Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT  INAPANGISHWA 
MAHALI. MIPANGO 
VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER 
SEBULE 
JIKO 
PUBLIC TOILET 
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA 
BEI 400000MWEZ 
MALIPO NI MIEZ 6
MALIPO YA DALALI YATALIPWA NA MPANGAJI 
MALIPO YA KWENDA SITE. 10000
MAWASILIANO 
0627117471
0714147771




















