Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: MBEZI MWISHO
#๐ฟ๐๐จ๐ฉ๐๐ฃ๐๐: Kutembea kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Main Road.
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo ni Master
โข Jiko Zuri Kubwa
โข Public Toilet
โข Garden
Apartment Zipo ndani ya Fensi Parking ipo na Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 450,000/- Malipo Miezi 6
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp