Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(450,000 × 6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗞𝗔𝗔
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= × 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
#GARDEN
BEI NI 450,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA USAFIRI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300