Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI KUBWA YA FAMILIA INAUZWA NA IPO SEHEMU NZURI SANA
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YAPO YA KUTOSHA
#PARKING
#IPO NDANI YA FENSI
BEI NI 55,000,000/=
INAUZWA MILIONI 55 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA ENEO NI 20/18 METERS
DOCUMENTS:- HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Contact
0652472014
0754344786