Kiwanja kinauzwa Ntyuka, Dodoma


*OFA OFA OFA*. Kiwanja kikubwa Ntyuka. Kinafaa kwa kujenga *Hoteli* au uwekezaji wowote. Ni cha pili kutoka barabara kuu ya Mjini-Ntyuka na ni km 8 toka mjini. Ukubwa ni sqm 2,016. Bei ni *Tsh mil 30*. Tuwasiliane 0713 951382