Kiwanja kinauzwa Ntyuka, Dodoma


Corner plot hiyo Ntyuka sqm 681. Kiko kwenye makazi kabisa yaana unaanza ujenzi. Umbali km 10 toka mjini. Bei mil 4 cash au mil 5 unaanza na mil 2 inayobaki unamaliza ndani ya miezi10. Faida ya corner plot ni *makazi na biashara*. Karibu inbox tuyajenge 0713 951382