Kiwanja kinauzwa Ntyuka, Dodoma


*โผ๏ธโผ๏ธKIWANJA CHA KWANZA BARABARA YA NTYUKA*
๐Barabara ya lami ya *Ntyuka*
๐Ukubwa ni *sqm 1,223*
๐Faida kina reserve kubwa sana ya Barabara yaani marefu ya *mita 63.28*
๐Mpango wa matumizi ni *Commercial*
๐Umbali toka mjini ni *km 9*
๐Bei *mil 33*. Utaratibu wa malipo maongezi yapo
0672312302