Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 1,000,000
Project
Yes

Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kibaha Misugusugu karibu Sana na Barabara kubwa ya Lami,Yani mita 900 toka lami Yani Kwa ujumla ni Km2.5 Toka Morogoro Morogoro Road.

Viwanja hivi tunaviuza Bei rafiki Sana,Yani shilingi 8500/= Kwa mita za Mraba! Ukubwa wa Viwanja ni Kuanzia 400m² hadi 1016m²

Utaratibu wa Malipo ni rahisi sana! Yani unalipa shilingi 1,000,000/= malipo ya Awali Kisha kiasi kinachobaki Kinalipwa kidogo kidogo ndani ya Mwaka Mmoja yaani Miezi Kumi na Mbili.

Kila Mwezi shilingi 200,000/=

Kuja kuona na kukagua site ni kila siku Kuanzia Jumatatu hadi Jumapili! Muda Kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 Jioni.

Viwanja vyote ni tambarare hakuna kabisa kilima wa bonde,ni mkeka kamili kamili ndugu mteja wetu mpendwa. Ukinunua Kiwanja kwetu ni Uhakika,Yani ni amani ya kutosha,hakuna majuto ni Raha Tu! Wote mnakaribishwa! Yani kwetu ni Furaha tele,sio makasiriko. Huduma kama umeme na maji vipo site Kwa Majirani.

Ofisini: Kibaha Madafu,Kiluvya Madukani na Mbezi Kwa Msuguri.

Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814

Cananland Marketing Solutions
dar_kubwa_remmysbrand
Cananland Marketing Solutions

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 20,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIBAHA MILE MOJA (𝑷𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊)?✅ Jipatie kiwanja Bora cha maka...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 20,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIBAHA MILE MOJA (𝑷𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊)?✅ Jipatie kiwanja Bora cha maka...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 350,000,000

--Plot/shamba for sale kibaha misugusugu Acres 4one km from the main road price Tsh million 350-PLOT...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 20,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIBAHA MILE MOJA (𝑷𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊)?✅ Jipatie kiwanja Bora cha maka...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 35,000

Viwanja kibaha mjiniUmbali km 2 Tu Bei sqm moja 35000 TuMalipo kidogokidogo 0785440293

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 3,000,000

📍KIBAHA PANGANI - Viwanja vinaanzia sqm 600 na bei ni kuanzia Milioni 10📍VIKAWE - Viwanja vinaanzi...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 2,000,000

VIWANJA! VIWANJAA!! VIWANJAAA!!! BEI KUANZIA TSH 2,000,000( MILIONI MBILI) NAKUENDELEA KULINGANA NA ...

Sh. 300,000,000

NUNUA KIWANJA NA UJENGE NA KAMPUNI YA PERFECT PROPERTY✅Kibaha, Visiga MadafuNUNUA KIWANJA NA UANZE K...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 6,000,000

KIWANJA KIKUBWA SQM 800 KIMEGUSABARABARA KINAUZWA KIBAHA KWAMFIPA TSH 6M TU.==========🔶 KINA UKUBWA...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 1,000,000

Viwanja hivi vipo km1.2 toka Morogoro Road, Mahali ni Kibaha Visiga,Miwaleni.... Bei ni shilingi 11,...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 800,000,000

Habari nzuri kwa watanzania wote wanaopenda kumiliki Ardhi iliyopimwa,hapa Panaitwa Kibaha Visiga Se...