Viwanja vinauzwa Mlandizi, Pwani


Bonge la Ofaa!!
Sasa tupo Mlandizi mjini!!! Mradi mpyaaa!!!
Mradi upo karibu na hospital kuu ya wilaya na opposite na Modern Industrial Park!!
Ni dk 10 tu kutoka Morogoro road
Viwanja vinaanzia barabarani
Viwanja vya petrol station, Hotels, Godowns, apartments, Shopping malls, na Makazi!!!
Sqm 400 ni Tsh 2,000,000 tu(hii ni bei ya ofa)
📞 0626 603020