Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma


Viwanja vizuri vinapatikana Dodoma mjini
Chidachi Ntyuka
▶Umbali kutoka mjini ni km 7
▶Bei kwa sqm ni tsh 15000
▶Viwanja vina hati
▶Malipo ni kwa awamu hadi miezi 4
▶Ukubwa wa viwanja kuanzia sqm 400-1000
▶Huduma za kijamii kama vile maji,umeme na barabara za kupitika hadi site
▶Karibu na itakapojengwa Ring road ya ndani
Kwenda site na kurudi ni buree kabisa
Mawasiliano : 0768 333 054
Karibuni sanaa