Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 240,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LAND. ANZA NA LAKI TATU KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO
_____________________________________
0699088721)!0674582245whtasp
_____________________________________Kampuni ya RAMAHA LAND
Imekukuletea site mpya yenye viwanja 100 vyenye ukubwa wa fut 50 kwa 40 kwa sh 1,500,000/ tu.

Pia unaweza kuunganisha kuanzia viwili nakuendelea

Anza na laki tatu kisha kwa kila mwezi lipa 240,000 x 5 utakuwa umemaliza deni.

Ndugu yangu hii siyo ya kukosa mwanzo tulikua na ofa ya viwanja 250 kwa utaratibu kama huu kwa sasa ni viwanja 100 tu navyo vimepakana na sekondari ya Tambani kule kule kwenye site ya viwanja 250 vilivyoisha.

Umeme upo hapo hapo ni nguzo tatu tu na viwanja ni tambarale safi kabisa ukifika utajionea mwenyewe.

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi saiti ______________________________________
Huduma zote za kijamii zipo kwa mfano
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Zahanati✓
Barabara✓

Ofisi yetu ipo wazi kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Njoo ofisini twende site ukachagua kiwanja bora kwa makazi bora na salama.

Na unaweza ukaunganisha zaidi ya kimoja

Karibuni sana wateja KAMPUNI YA RAMAHA LAND uaminifu ni %%%100%%%

_____________________

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 44,000,000

NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA VIGOA INA U...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 50 TUNYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA YENYE VYUMBA VINNE(4) TSHS.45 MILIONI, MBAGALA-KINGUGI.Ni wastanj wa kikomita 3 tu kutoka MBA...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi magengeni location st emanuel mapunda Road, Bei milioni 68 maonge...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

HBARI ZA MUDA HUU MABOSS ZANGU DALALI WENU RICK LOSS NAWALETEA HII NYUMBA NZURI SANA INA UZWA BEI NZ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala Chamanz nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroo...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 49,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala kwa ndumba nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroom daingi...

Sh. 28,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO MBAGALA CHAMAZI BEI MILIONI 28ROOMS 3 - 1 MASTER BEDROOM SEBULE DINNING KITCHEN P...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba inapangishwa ipo mbagala mbande kisewe location kwadarueshi, bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzi...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba3 master public toilet stingiroom daingiroom kitc...