Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma
VIWANJA DODOMA MJINI-Ntyuka Chidachi
Offer ya nane nane bado zinaendelea hadi 30.08.2024
Nina viwanja vizuri vilivyopimwa kwa ajili yako
Sifa za viwanja :
▶Viwanja vimepimwa na vina hati
▶Viwanja vipo karibu sana na Dodoma mjini
▶Km 5 kutoka Dodoma mjini
▶km 1 kutoka kutoka stesheni ya Sgr kanda ya kati
▶km 1.5 kutoka hospital ya kisasa DCMC
▶viwanja vya makazi na biashara
▶Maji, umeme na barabara vimefika hadi site
▶Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 400 na kuendelea, kulingana na mahitaji yako
▶Ardhi ni tambalale kabisa
▶Karibu na eneo la chuo cha Mwl Nyerere memorial
▶Karibu na shule ya shekina primary school
▶Mji umejengeka Kwa kufata Ramani
▶Bei kuanzia mil 9.5 (malipo kwa Cash na awamu)
Kwenda site kuona viwanja ni buree kabisa, na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054