Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma
Karibu nikuuzie viwanja vilivyopimwa na vyenye hati Dodoma mjini
✔Eneo ni Chidachi Ntyuka
✔ karibu na hospital ya DCMC na chuo cha Mwl. Nyerere
✔Km 5 kutoka Dodoma mjini
✔Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 400 ,450,500,600,900,1000, hadi sqm 5000
✔Viwanja havina migogoro
✔Viwanja vina hati
✔Bei kuanzia mil 9.5
✔Maji, umeme, barabara na huduma zote za kijamii zipo
✔Karibu na kituo cha stesheni ya SGR dodoma
✔Matumizi ni makazi na biashara ie, apartment, flemu n. k
✔Kumejengeka vizuri sana kwa kufata ramani
✔Karibu nikupeleke site leo buree kabisa ukachague kiwanja
Mawasiliano : 0768 333 054