Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma
OFFER OFFER YA KUFUNGA MWAKA 🔥🔥
karibu nikuuzie viwanja Vizuri Dodoma mjini
Eneo : Chidachi Ntyuka
Sifa za viwanja
📌Viwanja vimepimwa na vina Hati
📌Km 5 tu kutoka Dodoma mjini
📌Karibu sana na stesheni ya SGR
📌vinafaa kwa makazi na biashara
📌Umeme, maji na barabara vipo site
📌Pamejengeka tayari
📌Karibu na Eneo la chuo cha Mwl. Nyerere memorial
📌Bei vipo vya mil 11 na kuendekea kulingana na ukubwa wa kiwanja
📌Malipo ni Cash na awamu
📌Huduma ya kwenda site ni bure na kila siku
Mawasilino : 0768 333 054
Karibu sana 🔥