Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma


Sold out 🔥🔥Asante wateja wetu kwa kutuamini
Vimebaki viwanja viwili🙌
📌Viwanja vipo chidachi Ntyuka karibu na stesheni ya SGR
Sqm 1106 bei mil 24
Sqm 1065 bei mil 24
📌Viwanja vipo km 5 kutoka Dodoma mjini
📌Viwanja vimepimwa na vina Hati
📌Vinafaa kwa makazi na biashara
Kwa mawasiliano : 0768 333 054