Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma
Dodoma mjini kumenogaaa,karibu nikuuzie viwanja vizuri karibu na Kitakapojengwa chuo cha Mwl. Nyerere
Eneo ni Chidachi Ntyuka
SIFA ZA VIWANJA
👉Vwanja vimepimwa na vina hati
👉Km 5 kutoka mjini
👉km 4 kutoka ofisi za Duwasa na Kambarage Tower
👉Vipo karibu na chuo cha mwl Nyerere
👉Karibu na Shule ya Shekina Primary school
👉Karibu na stesheni ya SGR na hospital ya DCMC
👉Ukubwa wa viwanja ni Sqm 400,450,500,600,1000 na zaidi
👉Bei ni kuanzia mil 9.5
👉Umeme,maji,barabara ni uhakika
👉Karibu na Huduma zote za kijamii
👉Viwanja vinafaa kwa apartment,lodge ,hostel ,Fremu za biashara pamoja na Nyumba ya kuishi
Kwenda site ni kila siku ndani ya wiki
Nipigie kwa no : 0768 333 054