Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma
Viwanja vinauzwa Dodoma mjini karibu na Kituo cha stesheni SGR- Dodoma( Chidachi Ntyuka)
Sifa za kiwanja hiki
📌Vipo km 1 kutoka Sgr
📌Km 5 kutoka Dodoma mjini
📌Karibu na hospital ya Dcmc
📌Karibu na kitakapojengwa chuo cha Mwl Nyerere Memorial
📌Viwanja vimepimwa
📌Viwanja Vina hati
📌Viwanja havina migogoro
📌Ukubwa ni kuanzia sqm 400 hadi sqm 1000
📌Vinafaa kwa makazi na biashara
📌Huduma zote za kijamii zipo kama vile maji, umeme, barabara, shule, hospitali n.k
📌Bei kuanzia mil 9.5 kulingana na ukubwa wa kiwanja unachohitaji ( malipo ni kwa awamu 3)
📌Huduma ya kwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054