Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma


Viwanja vizuri bado vinapatikana Rest Real Estate Dodoma
Eneo : Chidachi Ntyuka
Vimebaki vichache sana
Sqm 486 bei mil 11
Sqm 562 bei mil 12.5
Sqm 550 bei mil 12.5
Sqm 735 bei mil 15.5
Sifa za viwanja
đź“ŚViwanja vimepimwa
đź“ŚViwanja vina hati
đź“ŚKm 5 kutoka Dodoma mjini
đź“Śkm 1 kutoka stesheni ya SGR
đź“Śkaribu na hospital ya DCMC Ntyuka
đź“ŚMatumizi ni makazi na biashara
📌Maji, umeme na barabara vipo site🔥🔥
đź“ŚPamejengeka kwa kufata Ramani
đź“ŚMalipo ni cash na awamu
Kwenda site ni bure na kila siku
0768 333 054