Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma
Viwanja vizuri vinauzwa Dodoma mjini
Eneo ni Chidachi Ntyuka
Sifa za viwanja
👉Karibu sana na mjini
👉Km 5 kutoka Dodoma mjini
👉Vimepimwa na vina hati
👉viwanja ni vya makazi na biashara
👉Karibu na stesheni ya kisasa ya SGR
👉Karibu na Hospital ya DCMC
👉Karibu na kinapojengea chuo cha Mwl Nyerere memorial
👉Umeme, maji na barabara vipo site
👉Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 400,600,700,1000 na zaidi
👉Bei kuanzia mil 9 (malipo kwa miezi 3)
👉Kwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054