Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma
Miliki kiwanja Dodoma Mjini kwa bei nafuu
Eneo ni chidachi Ntyuka
SIFA ZA VIWANJA :
▶viwanja vipo karibu sana na mjini
▶Km 1 kutoka stesheni ya SGR Dodoma
▶Km 5 kutoka Dodoma mjini
▶Viwanja vimepimwa na vina hati
▶Viwanja vipo karibu na Hospital ya kisasa DCMC
▶karibu na Eneo la chuo cha mwl Nyerere Memorial
▶Viwanja vya makazi na biashara
▶Ukubwa ni sqm 400,500,600,700,800,1000,1200 na zaidi
▶Pamejengeka tayari Kwa kufuata ramani
▶Huduma za kijamii kama vile maji, umeme na barabara vimefika hadi site
▶Bei kuanzia mil 9.5 na kuendelea
Mawasiliano: 0768 333 054
Kwenda site ni buree kabisa