Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma


Viwanja vizuri Ntyuka km 12 toka mjini. Viwanja viko kwenye tambarare. Bei ni mil 3.5 kwa kulipa kwa awamu (miezi 10, kianzio mil 1) na mil 3 kwa malipo ya cash (ambapo tutagharamia na HATI).
Hivyo viwanja viwili vya kona bei yake ni mil 4.5 kwa malipo ya kidogo kidogo na mil 4 kwa malipo ya cash yanayojumuisha na gharama za HATI.
Kwa mawasiliano 0713 951382 au fika ofisini kwetu Ntyuka mkabala na ofisi ya mtendaji kata.