Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
1 day ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Kali zinapatikana kigamboni
Oc kigamboni kibada
✅Chumba master Seble na jiko
✅Nyumba ni appertment
✅Nyumba ni mpyaa
✅Nyumba ipo Kalibu na barabarani
✅Nyumba ruku yako
✅Nyumba Kali sana
malipo miez 6
service charger 20k
☎️
☎️
✅kalibuni kigamboni















