Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
6m
Huduma na Sifa
Maelezo
——
NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE
KUTOKA MWENDOKASI NI DK 6 KWA MIGUU
NYUMBA INA CHUMBA CHOO NA JIKO
FULL AC FULL INTERNET WASHING MACHINE, CAMERA
NDANI YA HIYO COMPAUND KUNA CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO 500000 INA SIFA HIZOHIZO.
KUONA NYUMBA SURVEY CHARGE NI 30,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
NOTE :::ZITAKUWA TAYARI TAREHE 15.05.2026
dalali osama contact
0674198120......0757908120















