Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba inapangishwa bei 100000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, umeme munashea wanne tu pia maji yanafloho ndani, chumba inatazama barabara ya lami, Location ya tabata kinyerezi dar es salaam
Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service charge tsh 15000
Malipo ya dalali















