Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Aina
Apartment
Vyumba
3
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1km
Maelezo
🏡 APARTMENT YA VYUMBA 3 VYA KULALA INAPANGISHWA – MADALE
💰 Kodi: TZS 700,000 kwa Mwezi
Furahia maisha ya kisasa katika apartment nzuri iliyopo Madale, eneo tulivu na salama.
✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni Master Bedroom)
✅ Sebule kubwa na yenye nafasi ya kutosha
✅ Eneo la Dining
✅ Jiko la kisasa lenye makabati
✅ Public Toilet
✅ Makabati ya nguo kwenye vyumba
📍 Mahali:
• Madale
• Takribani kilomita 1 kutoka barabara kuu
🔹 Huduma Zilizopo:
✔ Full Air Condition (AC)
✔ Heater ya maji
✔ Maegesho ya magari (Parking)
✔ Ulinzi wa saa 24
💳 Masharti ya Malipo:
• Kodi: TZS 700,000 kwa mwezi
• Malipo ya miezi 6 mbele
📌 Gharama Nyingine:
• Service Charge: TZS 30,000 (mara moja tu)
• Udalali: Kodi ya mwezi mmoja
📞 Kwa maelezo zaidi au kupanga kuona nyumba:
📲 Piga/WhatsApp: +255 692 932 076















