Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi Zabikha, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

Huduma na Sifa

Maji
Parking Space
Umeme
Mita ya Maji Inajitegemea
Karibu na Barabara ya Lami
Jiko

Maelezo

Stand alone Mpya inapangishwa Kinyerezi Zabikha takriban kilomita 1 kutoka barabara ya lami (bodaboda elfu moja).

🏠 Ina:
* Vyumba 3 (1 Master)
* Sebule
* Dining
* Jiko la kisasa lenye makabati
* Jiko la nje
* Maji ya DAWASCO pamoja na kisima
* Parking ya kutosha
* Ipo katika mtaa mzuri na salama
πŸ’° Kodi: TSh 400,000 kwa mwezi
πŸ“Œ Malipo: Miezi 6 mbele
πŸ’΅ Gharama ya huduma: Kodi ya mwezi 1

πŸ“ž Muhitaji piga:

Matangazo mengine Kinyerezi, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent2 beds1 bathhouse
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent2 beds1 bathhouse
Tabata/Segerea