Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kwa Mfipa, Pwani (400 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
BOMA JIPYAA ZURI SANA LA VYUMBA VITATU VYA KULALA LINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA MILIONI 18 TU
==========
๐ปLina vyumba vitatu vya kulala, Chumba kimoja ni Master
๐ปSebule kubwa
๐ปJiko
๐ป Public toilet
__________________
โ๏ธ Lipo kwenye barabara ya mtaa
๐ Boma lina ukuta upande mmoja
๐ Lipo karibu na chuo cha Mwl NYERERE
โ๏ธ Unapaua na kuhamia
๐ Umeme na Maji vimegusa kiwanja
==========
โ
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 400
_____________________
๐ฐ BEI MILIONI 18 TU
Maongezi yanafanyika site.
==========
โ๏ธ Kupelekwa kuona nyumba Tsh 30k tu
==========
Call/WhatsApp:
#0714972994















