Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Msakuzi, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Mbezi, Dar Es Salaam
6 hours ago
Sh. 150,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA YA KISASA YENYE HATI, TZS.150 MILIONI,MBEZI-MSAKUZI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200.
Umiliki ni HATI ( Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 3 vya kulala (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Servant's Quarter nzuri tu na
Parking ni ya kutosha.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________alsMx















