Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

Maelezo

Nyumba yangu hiyo nahitaji laki 250 kwa mwezi nafanya na marekebisho ipo kinyerezi mwisho boda 1000 hata kwa miguu unatembea vyumba vinne kimoja master na jiko na pia nje kuna jiko na vyoo pazuri sana maji dawasa na marekebisho ukitaka kuhamia Hakuna udalali

Viwanja dar na pwani

jacana_viwanja_pro

@jacana_viwanja_pro

View Listings

Matangazo mengine Kinyerezi, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds1 bathapartment
Viwanja dar na pwani