Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 350,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Air Conditioning
CCTV
Kisima
Mpya
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

🏡 NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI KISIWANI 🏡
Unatafuta nyumba ya kifahari yenye ubora wa hali ya juu? Hii ndiyo fursa yako!
✨ Sifa za Nyumba:
📍FULL TITTLE DEED 
✅ Vyumba 4 vya kulala
✅ Master Bedroom 3
✅ Sebule kubwa
✅ Dining room
✅ Jiko la kisasa
✅ CCTV Cameras
✅ AC 4
✅ Kisima cha maji
✅ Nyumba mpya kabisa yenye finishing ya kiwango cha juu (Class House)
📍 Mahali:
• Mita 500 kutoka barabara kuu ya lami
• Kilomita 6 kutoka Ferry
• Kilomita 5 kutoka Daraja la Nyerere
💰 Bei: TSh Milioni 350
🤝 Mazungumzo kidogo yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.
📞 0769554221.

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam