Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Ungindoni, Kigamboni, Dar Es Salaam

Kigamboni, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 135,000,000
Maelezo
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI
Location ungindoni
Nyumba ina jumla ya vyumba vinne viwili master sebule dining na jiko nzuri
BEI Milioni 135
Maongezi yapo
Mawasiliano
0704854837















