Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Darajani, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 250,000/month
Maelezo
Nyumba Kali zinapatikana kigamboni
loc kigamboni darajani
✅Chumba master na jiko
✅Nyumba ni appertment
✅Nyumba Ina fensi
✅Nyumba ni mpyaa
✅Nyumba Kali sana
asking price 250k per month
malipo miez 6
dalali mwez mmoja
~> service charger 20k
☎️
☎️
✅kalibuni kigamboni















