Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Aina
Apartment
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
2.5km
Huduma na Sifa
Maelezo
#0742260844
#0657384670
.
Mpyaaa mpyaaa mpyaaa
Chumba master kubwa
Sebule kubwa
Jiko lenye makabat
Umeme na maji inajitegemea
Fanc & parking
Nyumba zipo 3 kwenye compound moja
Kod 300,000 x6 wahi
Kimara mwisho km2.5 usafili bajaji1000 daladala 500
Galama za kupelekwa kuona 20k ukilipia utatoa mwez kwa dalali




















