Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Njia Nne, Dar Es Salaam

Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
300m
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
๐งLocation :: GOBA NJIA NNE- Mita 300 kutoka lami
๐งBei :: 800,000 Kwa Mwezi x 6
Muundo wa Nyumba;
๐ Vyumba viwili kimoja ni master
๐ Makabati chumbani
๐ Jiko Lenye makabati
๐Feni zipo
๐ Full AC
๐ Parking kubwa
๐Umeme /Maji yako
Kupelekwa site ni 30,000/=
0682 402 327 ๐ถ
0653 267 999 ๐ถ ya WHATSSAP















