Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbagala Chamazi Mfenesini, Dar Es Salaam

Sh. 200,000/month

Maelezo

Apartment inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 4 nakuendelea. Nyumba IPO ipo mbagala chamazi mfenesini. Apartment ina rooms 2 vyakulala sitting room, jiko, room moja ni master bedroom na public toilet ipo pia, tiliz, madilisha vioo, mafeni juu panga boy yapo, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk na fensi pia ipo lkn cio yakuingia gari. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika moja ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba au pga namba .

dalali mbagala chamaz

dalali_mbagala_chamaz

@dalali_mbagala_chamaz

View Listings

Matangazo mengine Chamazi, Dar Es Salaam

Apartment inapangishwa Chamazi, Dar Es Salaam
1

Sh. 140,000/month

For Rentapartment
Chamazi, Dar Es Salaam
Nyumba/Apartment (Furnished) ya vyumba viwili inapangishwa Makambako, Njombe
Promoted
Featured
15

Sh. 250,000/day

For Rent2 bedsFurnishedapartment
Makambako, Njombe
Apartment inapangishwa Chamazi, Dar Es Salaam
1

Sh. 140,000/month

For Rentapartment
Chamazi, Dar Es Salaam
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam
1

Sh. 250,000/month

For Rent2 bedsapartment
Chamazi, Dar Es Salaam
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam
1

Sh. 250,000/month

For Rent2 bedsapartment
Chamazi, Dar Es Salaam
dalali mbagala chamaz