Beach Plot kinauzwa Makunduchi Kigaeni, Zanzibar - Unguja South (2000 sqm)


Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA MAKUNDUCHI KIGAENI
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka Beach/Pwani Mita 220
Kipo baada ya Barabara ya Lami
Njia Upande 1
Ukubwa wa Kiwanja 2000Sqm
Bei Tsh 250m
NB: Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na video picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 220
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake















