Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Kigamboni Mwembe Mdogo, Dar Es Salaam (8161 sqm)

Kigamboni, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 400,000,000
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
HatiMaelezo
Eneo Kubwa Nzuri Linauzwa
Mahali: Kigamboni MwembeMdogo
Bei: Milioni 400 (Mazungumzo)
☑️Unatembea Tu Kutoka Lami
☑️Ukubwa: Sqm8161
☑️Hekari 2
☑️Hati Miliki ipo✅
☑️Unamalizia Finishing na Kupangisha Kama hostel
☑️Majirani Wamenyoosha Sana🔥🙌🏻
☑️Panafaa Kwa Uwekezaji Wowote: Kupangisha, Kuweka Bandari kavu Nk















