Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 250,000 per month

Aina

Duka

Huduma na Sifa

Umeme
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji ya Ku-share
Karibu na Barabara
Security Wall

Maelezo

FRAME INAPANGISHWA – SINZA 🔥

📍 Eneo: Sinza (karibu na barabara kuu)
💰 Kodi: 250,000 TZS kwa mwezi
🗓️ Malipo: miezi 6

✨ Sifa za fremu:
• Inafaa kwa biashara ndogo ndogo (duka, saluni, ofisi n.k.)
• Eneo lenye mzunguko wa watu
• Umeme (LUKU) na maji vinapatikana
• Usalama upo

📞 Wasiliana sasa: 0678512666
💼 Service charge: 30,000

🔥 Bei ya chini kabisa Sinza – chukua nafasi yako mapema!