Nyumba inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
5 hours ago
Sh. 180,000/month
Maelezo
NYUMBA INAPANGISHWA KIGAMBONI
✅Nyumba ipo ndani ya fence
✅Nyumba ni nzuri sana
✅Nyumba ipo na parking
✅Bei 180k mwezi mmoja wa Dalali
✅Location kigamboni kisiwani
✅service charge 20k
📲
📲
#dsm















