Nyumba inapangishwa Kiluvya Mpakani, Pwani









Kiluvya, Pwani
12 hours ago
Sh. 150,000/month
Maelezo
(150,000X3)KILUVYA MPAKANI DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
______
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER
SEBULE
NDANI YA FENCE
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 3
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Ndani ya fence parking IPO
Umbali dakika 7 Kwa miguu toka Morogoro Road
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20
Malipo ya dalali mwezi mmoja
Contact 📲















