Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Bonyokwa, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 85,000,000

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA – TABATA BONYOKWA

Unatafuta kiwanja katika eneo bora kwa makazi au uwekezaji? Hiki ndicho fursa unayoisubiri!

πŸ“ Eneo: Tabata Bonyokwa
πŸ“ Ukubwa: Sqm 700
πŸ’° Bei: TSh Milioni 85 (Inajadiliwa)
πŸ“„ Hati: Hati Miliki ya Wizara

Sifa za kiwanja:
βœ… Kipo katika neighborhood nzuri sana.
βœ… Kinapakana na barabara kubwa ya mtaa inayopitika muda wote.
βœ… Hakina mto, bonde wala korongo.
βœ… Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi binafsi.
βœ… Pia ni bora kwa uwekezaji wa apartments au nyumba za biashara kutokana na eneo lake zuri.

Karibu uwekeze leo na ujenge kesho yako kwa uhakika.

πŸ“ž Muhitaji piga: +255 653233641 au 0768682919
πŸ’Ό Service Charge: TSh 50,000/=