Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 300,000/month

Maelezo

🏡 CHUMBA KIKUU (MASTER), SEBULE NA JIKO VINAPANGISHWA

💰 Kodi: TSh 300,000 kwa mwezi

📍 Mahali: Kimara Korogwe – Barabara ya Maji Chumvi

Mazingira

✅ Eneo tulivu na lenye hewa safi
✅ Chumba kikuu kina kiyoyozi (A/C)

Sifa za Nyumba

✔ Chumba 1 cha Master (Self Contained)
✔ Sebule
✔ Jiko la wazi (Open Kitchen)
✔ Kiyoyozi (A/C) kwenye Master Bedroom
✔ Uzio wa fensi
✔ Maegesho ya magari
✔ Mazingira mazuri na salama
✔ Maji na umeme vina mita za kujitegemea
✔ Maji na umeme vinatoka kwenye vyanzo vikuu

Mawasiliano

📞 Simu:
📱
0713661530_0783661530
Muhimu

💳 Service Charge: TSh 20,000 (hulipwa na mteja kwa ajili ya kuonyeshwa nyumba/vyumba). Malipo haya yataendelea kuwa halali hadi utakapopata nyumba inayokufaa.

💼 Dalali/Commission: Kodi ya mwezi mmoja (hulipwa na mpangaji).

Masharti ya Malipo

📅 Kodi ya miezi 6 kwa malipo ya awali.

0713661530_0783661530

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

For Rent1 bed2 bathshouse
Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

For Rent1 bed2 bathshouse