Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
ID: 260905EV4JV

Kimara, Dar Es Salaam
50 minutes ago
Sh. 100,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Master kali sana zinapangishwa imebaki moja tuu
Kod 100000 x4
Zipo ndan ya fanc mazingila mazuli sana
Nyumba ipo kimara mwisho km1.2 tuu usafili bajaji boda tax daladala uhakika muda wote
Galama za kupelekwa kuona 15k ukilipia utatoa mwez kwa dalali















