Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam
ID: 260905CZ2EA








Kimara, Dar Es Salaam
51 minutes ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Location kimara stop over dakika 8 kutembea mpaka home
Kodi 300000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku yako
Maji dawasa ndani yanafloo
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali pilipili















